Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohammed Mtanda akizungumza na mfanya biashara ya ng'ombe ikiwa ni pamoja na kukagua risiti na vibali vya kusafirishia ng'ombe hao
|
Mkuu wa wilaya Mh Said Mtanda akikagua risiti na vibali vya wafanya biashara ya Ng'ombe |
|
Mkuu wa wilaya Mh. Said Mtanda akitoa maelekezo kwa mfanya biashara ya samaki na dagaa Mr. Lameki (kulia) amabaye alitoa malalamiko kwa mkuu wa wilaya huyo. |
|
Mkuu wa wilaya akisalimaiana na wafanyakazi wa kampuni ya simu waliokuwa wakitoa huduma zao mnadani hapo |
|
Mkuu wa wilaya Mh. Said Mtanda (kulia) akizungumza na mfanya biashara ya nguo za mitumba mnadani hapo |
No comments:
Post a Comment