Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akitoa siku 7 kwa wanachi wa kijiji cha Lyazumbi kuhama katika eneo la hifadhi |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiwa katika mkutano wa hadhara kijiji cha Lyazumbi |
Afisa tawala wilaya ya Nkasi Bwana Festo Chonya akiwasisitiza wananchi wa kijiji cha Lyazumbi kutii agizo la Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
Mwenyekiti wa kijiji cha Lyazumbi Mh. Iddi Lehani |
Afisa mtendaji wa kijiji cha Lyazumbi Elizabeth Felix akisoma taarifa ya maendeleo ya kijiji |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akionea na wananchi wa kijiji cha Lyazumbi |
Wananchi wa kijiji cha Lyazumbi wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
Moja kati ya majengo yaliyojengwa ndani ya hifadhi ya Lwafi |
No comments:
Post a Comment