| Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
| Watumishi wa umma wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda katika kikao cha ndani |
| Afisa tarafa ya Kate Bwana Bazilio Masulu |
| Wananchi wa kata ya Kipande wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh Said Mtanda |
| Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh Said Mtanda akiongea na wananchi wa kata ya Kipande katika mkutano wa hadhara |
| Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
| Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
| Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na wananchi wa kijiji cha Kasu |
| Afisa Tarafa ya Chala Diana Khani |
| Kaimu Afisa Kilimo na Ushirika Bwana Pirmin Matumizi akitoa ufafanuzi juu ya utolewaji wa pembejeo za kilimo |
| Afisa Mifugo na Uvuvi Bwana Reuben Kapongo akijibu hoja za wananchi wa Tarafa ya Chala |
| Wananchi wa Tarafa ya Chala wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda |
| Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akikagua moja kati ya miradi ya maji iliyotekelezwa chini ya kiwango katika Tarafa ya Chala |
| Mradi wa maji Tarafa ya Chala |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akikagua moja kati ya miradi ya maji iliyotekelezwa chini ya kiwango katika Tarafa ya Chala
No comments:
Post a Comment