Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na watumishi wa serikali pamoja na viongozi wa serikali za vijiji katika kikao cha ndani |
Mratibu elimu kata Bwana Alan akisoma taarifa ya kata ya Kala mara baada ya mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda kuwasili kwenye kata hiyo |
Afisa mtendaji wa kata ya Kala Bwana Privev Mwasile akijibu swali lililouzwa na mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
Kaimu afisa tarafa ya Wampembe Bwana Erasto Widambe |
Afisa mtendaji wa kijiji cha Kilambo cha mkolechi Bwana Meshack Chakupewa akijibu hoja iliyotokana na mgogoro uliozuka kati yake na Mwenyekiti wa kijiji hicho |
Msimamizi wa kituo cha afya Kala Bwana Nashon Omolo akizungumzia changamoto za usafiri kwa wagonjwa katika kata ya Kala |
Mwenyekiti wa kijiji cha Kala Mh.Abdallah Said |
Diwani kata ya Kala Mh.Thadeo Kisoli |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda (katikati) akiwa katika mkutano wa hadhara kata ya Kala |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na wananchia wa kata ya Kala katika mkutano wa hadhara |
Bwana Julius Vilimani mkazi wa kata ya Kala akizungumzia juu ya mradi wa maji ambao haujakamilika tangu mwaka 2012 |
Wakazi wa kata ya Kala wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda katika mkutano wa hadhara |
Bwana Jordan Kapondo mkazi wa kata ya Kala akitoa ombi la uvuvi wa samaki kwa kutumia taa za Sola kwa mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
Afisa Uvuvi kata ya Kala Bwana Frank akitoa ufafanuzi wa kina kuhusiana na sheria za uvuvi |
Mwenyekiti wa kijiji cha Mpasa Mh. Amos Chipeta akitoa ombi la ujenzi wa kituo cha afya badala ya Zahanati huku akisisitiza kukamilika kwa ujenzi wa kituo cha polisi |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda (kushoto) akimuuliza maswali mwenyekiti wa kijiji cha Mpasa |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiwa katika kikao kilifanyika kwa aijili ya kutatua mgogoro kati ya mtendaji wa kijiji cha Kilambo cha mkolechi na serikali ya kijiji hicho |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda (kulia) akiongea na mkuu wa idara ya Mifugo na Uvuvi katika chumba cha kuhifadhia vifaa mbali mbali vinavyotumika katika uvuvi haramu |
Afisa uvuvi kata ya Kala Bwana Frank akionyesha nyavu haramu |
Taa zinazotumika katika uvuvi uliopigwa marufuku kisheria |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na wananchi wa kijiji cha King'ombe |
Wananchi wa kijiji cha king'ombe wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda atembelea Mradi wa maji uliojengwa chini ya kiwango katika kijiji cha King'ombe |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na Mwenyekiti wa kijiji cha King'ombe katika eneo la mradi |
No comments:
Post a Comment