Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akihoji juu ya huduma za afya zinazotolewa baada ya kutembelea katika kituo cha afya Tarafa ya Wampembe |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na mmoja kati ya wagonjwa walio lazwa katika kituo cha afya Tarafa ya Wampembe |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na watumishi wa umma pamoja na viongozi wa serikali za vijiji tarafa ya Wampembe katika kikao cha utendaji |
Mwenyekiti wa kijiji cha Wampembe Mh. Frank Adam Takwita akiongea na wananchi wa Tarafa ya Wampembe katika kikao cha utendaji |
Diwani wa kata ya Wampembe Mh. Benezeth Kisoli |
Watumishi wa umma pamoja na viongozi wa serikali ya vijiji wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda katika kikao cha utendaji |
Kaimu Afisa Mtendaji kata ya Wampembe Bwana Faustin Wakulichamba akijibu moja kati ya maswali yaliyo ulizwa na wananchi wa Kata ya Wampembe |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akiongea na wananchi wa Kata ya Wampembe katika mkutano wa hadhara |
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda |
Wakazi wa Kata ya Wampembe akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda katika mkutano wa hadhara |
Mkuu wa idara ya ardhi Bwana Nichodemus Hillu akitoa wito kwa wakazi wa kata ya Wampembe kuachana na tabia ya kuuza maeneo kiholela |
Kaimu afisa elimu msingi Bwana Mnyuke Msumeno akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa elimu ya watu wazima (MEMKWA) kwa wakazi wa kata ya Wampembe |
Mkuu wa idara ya Mifugo na Uvuvi Bwana Reuben Kapongo akiwakumbusha wavuvi sheria na taratibu za uvuvi kupitia mkutano wa hadhara katika kata ya Wampembe |
Mkazi wa Tarafa ya Wampembe Bwana Zenobia Mwakasoko akiuliza juu ya upungufu wa walimu katika shule za msingi Tarafa ya Wampembe |
Mkazi wa Tarafa ya Wampembe Bwana Daudi Katima akilalamikia juu ya kuwashwa na kuzimwa kwa mtandao wa simu katika tarafa ya Wampembe |
Mkazi wa Tarafa ya Wampembe Bwana Gelvas Kibelenge akiuliza juu ya upatikanaji wa vibali kwa ajili ya uvunaji wa miti ya mbao katika Tarafa ya Wampembe |
Mkazi wa Tarafa ya Wampembe Bi Getrude Charahani akizungumzia kuhusiana na vikundi vya akina mama kutopewa mikopo kwa wakati |
No comments:
Post a Comment