Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mh. Said Mohamed Mtanda akihakiki vyeti vyake ofisini kwake |
Akiongelea sababu ya kuanza kwa uhakiki huo mkuu wa wilaya ya Nkasi Said Mtanda amesema amelazimika kuanza ukaguzi katika ofisi yake ili kutoa mfano kwa idara nyingine kuanza mara moja uhakiki wa vyeti vya taaluma kwa watumishi wake.
Katika uhakiki huo pia kumefanyika uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwa watumishi wa ofisi ya mkuu huyo wa wilaya.
No comments:
Post a Comment